![]() ![]() Pastor Zip's Blog: The Stations of the Cross. ↑ Trinity Evangelical Lutheran Church.↑ Pope John Paul II, Letter to Cardinal Fiorenzo Angelini, for the 50th anniversary of the Benedictine Sisters of Reparation of the Holy Face, 27 September 2000 (Vatican archives).↑ Miserentissimus Redemptor, Encyclical of Pope Pius XI.82, 1972 (English trans from German), Lund Humphries, London, ISBN 0-85331-324-5 ![]() ↑ Schiller, Gertrud, Iconography of Christian Art, Vol.Mbali ya vituo 14 vilivyozoeleka zaidi, wengine wanapenda kuviongeza, kuvipunguza au kuvibadilisha hasa kwa kufuata zaidi habari za Injili na kumalizia na ufufuko wake. Mbali ya kila Ijumaa ya mwaka, waamini wengi wanafuata njia hiyo wakati wa Kwaresima, na kwa namna ya pekee Ijumaa Kuu. ĭesturi hiyo inaweza kufuatwa na mtu mmojammoja au kwa makundi hata makubwa. Hata baadhi ya Walutheri na Waanglikana wanapenda desturi hiyo. Mengi kati ya ma kanisa ya Wakatoliki yaani picha 14 zilizopangwa kwa kawaida ukutani kwa umbali fulani ili kuwezesha waamini kutembea kati ya moja na nyingine huku wakiendelea kutafakari juu ya mateso ya Yesu, jinsi ambavyo wangefanya mjini Yerusalemu, ili kuelewa zaidi upendo wa Mungu, kuchukia dhambi na kuzifidia. Ni hasa wafuasi wa Fransisko wa Asizi walioeneza desturi hiyo kila mahali. Njia ya Msalaba (kwa Kilatini, Via Crucis au Via Dolorosa) ni desturi ya sala inayolenga kumfuata Yesu Kristo hadi msalabani na kaburini.ĭesturi hiyo ilianza Wakristo wa Ulaya walipozidi kutembelea Nchi takatifu katika Karne za Kati. ![]()
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |